Somo la mfalme wa tiro

Somo la mfalme wa tiro

somo la mfalme wa tiro

Chapisha Maoni. Ufunuo 2 na 7: "Na yule mnyama niliyemwona alikuwa mfano wa chui, na miguu yake ilikuwa kama miguu ya dubu, na kinywa chake kama kinywa cha simba, yule joka akampa nguvu zake na kiti chake cha enzi na uwezo mwingi" Kazi mojawapo aliyopewa yule Joka joka anasimama badala ya shetani" Tena akapewa kufanya vita na watakatifu na kuwashinda, akapewa uwezo juu ya kila kabila na jamaa na lugha na taifa.

Shetani anaweza kutumia viti vya enzi ktk kuwapiga vita watakatifu na si kila mtu, ingawa wengine wanaweza jikuta ktk vita isiyowahusu Vita hii ni kwa watakatifu, watu waliotengwa kwa ajili ya kusudi la Mungu Hata asieokoka anaweza kuwa mtakatifu maana kama viti, meza vya weza takaswa kwa ajili ya kusudi la Mungu si zaidi sana mwanadamu Ukisimamia kusudi la Mungu shetani atakupopiga vita Na watu wa aina hii ni rahisi Mungu anawatembelea 3.

Kiti cha enzi ni nafasi ktk ulimwengu wa roho Neno mwenyekiti ni la kiroho kabla halijatumika mwilini Efeso 2: Tumefufuliwa na kuketisha na kristo juu sana Efeso Yesu amekununua na kukufanya uwe mflme na kunani na kumiliki juu ya nchi Ili uwe na mamlaka lazima uketi yaani ukubali hiyo nafasi ili Mungu aitumie hiyo nafasi kwa jili yake Fanyeni yote kwa utukufu wake Kumbuka kama ni kiongozi mahali basi hiyo nafasi si kwa ajili yako ni ya aliyokuweka na unaowangoza Kwenye maandiko pia unapopewa nafasi si kwa ajili yako Lazima ukubali kutumia hiyo nafsi kwa ajili ya ukufu wa Bwana Si kila mapambano au shida imetokana na kiti cha enzi Mungu ameruhusu somo la namna hii ni ili ujue kuna msimu mwingine na ili ujua kujipanga 6.

Jana tulijifunza hatua 4 ukishajua unapambana na kiti, Hatua nne: 1. Hakikisha umeketi Musa hukuruhu siwa kwenda vitani kwa farao bila kiti maana nguvu za farao zilikuwa kwenye kiti cha mzaliwa wa kwanza na Musa alikataa ndipo Mungu akampa haruni kuchukua kiti Ilimchukua Ester maombi ya siku 3 ili aketi 2.

somo la mfalme wa tiro

Hakikisha unajifunika na damu ya Yesu ikulinde wewe na wanaokuzunguka Mungu alimwambia Musa kile kiti cha enzi cha farao, farao hajakaa bali mzaliwa wa kwanza hivyo nitapiga mzaliwa wa kwanza wake Adding to ride command audio ni kitu gani Mungu amekupa kuombea, Ukishasema unataka mabadiliko maana yake unataka kugusa kiti hivyo lazima ujipange vizuri 3.

Hakikisha unafanya toba kwa ajili ya jambo ambalo limesababisha kiti kikakufanyia fujoNi kumsaidia kila mtoto kuelewa kwamba muziki mzuri unaweza kutusaidia kuhisi furaha na kutukumbusha juu ya Baba wa Mbinguni na Yesu.

Kwa maombi jifunze Samweli —23; Etheri —12 ; na Mafundisho na Maagano Fanya maandalizi yanayohitajika kwa Shughuli zo zote za Kuboresha unazotaka kutumia.

Taarifa kwa mwalimu: Ukitaka unaweza kumwalika mwalimu wa muziki wa watoto wa Msingi ili kukusaidia katika somo hili. Elezea muziki wa furaha, maridadi, au wa amani unaweza kutusaidia kujisikia vyema moyoni.

Tunapokuwa na huzuni, kukasirika, au kuwa na hofu, muziki mzuri unaweza kutusaidia kujisikia furaha tena. Onyesha pichaDaudi Akimchezea Mfalme Saulo. Kwa nini unafikiri muziki wa Daudi ulimfanya Mfalme Saulo kujisikia vyema? Acha kila mtoto ajifanye anacheza chombo cha muziki, kama vile piano, violin, fluti, au kinubi, wakati wewe ukiimba wimbo wa watoto wa Msingi unaojulikana bila kufungua mdomo.

Elezea kwamba kuimba pia kunaweza kutusaidia sisi kujisikia furaha. Mabata bwawani wanaimba wimbo wa furaha fungua na ufunge dole gumba na vidole kama vile mdomo wa bata. Mama kuku analia siku nzima weka mikono kama vile mabawa. Ndege katika viota vyao weka mikono kama umbo la kiota na upepo vileleni mwa miti punga mikono juu ya kichwa kama vile miti ikipigwa na upepo. Heath and Company. Umepigwa chapa tena kwa Idhini. Ni nyimbo gani za watoto wa Msingi ambazo zinakusaidia kujisikia mwenye furaha?

Onyesha pichaKuondoka kutoka Nauvoo, na usimulie hadithi ifuatayo kwa maneno yako mwenyewe:. Wakati watangulizi walipoacha nyumba zao huko Nauvoo na kwenda magharibi, walifungasha kila kitu walichoweza katika magari ya kukokotwa au mikokoteni iliyokuwa imefunikwa. Iliwabidi waache vitu vyao vingi nyuma kwa sababu hakukuwa na nafasi ya kubeba.

Safari ilikuwa ngumu, na watangulizi hawa kwa kawaida walikuwa wanachoka sana mwisho wa siku. Usiku watangulizi hawa walikusanya wanyama wao na magari yao katika duara na kuwasha moto mkubwa katikati ya ile duara.

Brigham Young, nabii, alijua watu wangekuwa na furaha katika safari yao kama wangekuwa na muziki. Aliwahamasisha waimbe na kucheza.

somo la mfalme wa tiro

Watangulizi waliokuwa wameleta fidla, tarumbeta, na ngoma walizitumia kucheza muziki. Kila mtu aliimba na kucheza karibu na moto. Wakati walipokwenda kulala usiku baada ya kuimba na kucheza, walijisikia furaha. Acha watoto wakae chini katika duara na wajifanye kuwa watangulizi waliokaa kuzunguka moto. Elezea kwamba muziki wa kanisani hutukumbusha juu ya Baba wa Mbinguni na Yesu.

Waombe watoto wafunge macho na kujifanya wanasikiliza muziki unaopigwa kanisani kabla ya mkutano wa Sakramenti.Kumbe,ukiona nchi imezaa mapooza,tambua kabisa nchi hiyo ilitungishwa Mimba ya Mapooza,na ukiona inazaa vitu vya kufakufa,tambua kabisa kilichoweka ndani yake ni cha kufakufa!!!! Lakini Shetani huwa analitumia Tumbo hilohilo kuzalisha vya kwake! Lakini punde anapowazaa, Adui Mwuaji anawamiliki anaanza kuwaingizia uvutaji sigara,ulevi,ukahaba,wizi n. Ukiona hivyo tambua kabisa Umeharibu Mimba!!!

SOMO LA MADHABAHU NA CHIEF APOSTLE MTALEMWA ARUSHA 01.05.2017

Kwa mfano,Utaona mtu anaanza biashara fulani,lakini baada ya muda,unaona biashara haiendelei tena!! Maadam umetambua hilo, sasa anza kukataa Kuharibu Mimba ya kile unachokuwa unakitungia!! Anza kuomba sasa huku ukiiambia ardhi Maana ina masikio na inasikia ulipo isizae mapooza wala kufakufa!

Kiambie kinywa chako kisizae mapoooza wala kufakufa! Iambie mikono yako isizae mapooza wala kufakufa! I love Jesus Christ View all posts by mapundagustaph. You are commenting using your WordPress. You are commenting using your Google account. You are commenting using your Twitter account. You are commenting using your Facebook account. Notify me of new comments via email.

Notify me of new posts via email. Skip to content. Share this: Twitter Facebook.

Muziki Hunifanya Kuwa na Furaha

Like this: Like Loading Published by. Leave a Reply Cancel reply Enter your comment here Fill in your details below or click an icon to log in:. Email required Address never made public. Name required. By continuing to use this website, you agree to their use. To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy.Complete order now or Continue browsing.

Those who wish to read the print edition of the book may wish to order it from Amazon. Kristo alisema lita:.

​SOMO: UHARIBIFU WA TUMBO LA UZAO (Lecture 10)

Pack amewafikia mamilioni wengi ulimwenguni na kweli za Biblia zilizo na nguvu sana—zisizojulikana karibu kwa wote. Ameandika vitabu na vijitabu 80, mwenyewe ameanzisha zaidi ya mikusanyiko 50, na alionekana kama mgeni kwenye Kituo cha Historia The History Channel.

Bwana Pack alihudhuria Chuo cha Mabalozi huko Pasedena, Kalifonia, aliingia katika huduma ya Kanisa la Ulimwengu Mzima mwakana yeye binafsi alifundishwa na mwanzilishi wake, Herbert W. Shetani amekuwa somo lenye shauku kubwa kwa maelfu ya miaka. Amedhaniwa kuwa kama jini, mzuka, na zimwi. Hata zinapojumuishwa pamoja, kwa kiwango kikubwa zinamwakilisha isivyo roho huyu mkuu aliyeanguka! Hawako sahihi! Hawajafanikisha chochote zaidi ya hisia za kitambo za kujiridhisha wenyewe. Kwa bahati mbaya, shetani pia huondoka katika mikutano hii akijisikia hata kutosheka zaidi kutokana na kile alichokishuhudia—na kukisababisha!

Kijitabu hiki kitafutilia mbali fumbo, mkanganyiko, ujinga, kisasili hadithi za kubuniushirikina na nadharia zisizosahihi zinazogubika ukweli juu ya utambulisho na asili yake. Mara chache sana mtu atazunguka huku na huku pasipo kusikia na kuona vidokezo juu ya shetani au mapepo. Tulia kwa muda na ufikiri juu ya mara ngapi hili hutokea.

Fungulia runinga. Nenda kwenye nyumba za sinema. Tembelea duka la vitabu. Ni mara ngapi somo la shetani, mapepo, malaika au ulimwengu wa roho huongelewa au kuandikwa kwa jumla? Mifululizo mizima ya vipindi vya runinga hutengwa mahsusi kwa ajili ya masomo haya, na vingine zaidi vikitokea kila wakati. Kwa miaka mingi sinema zimemlenga zimemfokasi shetani.

Lakini sasa zinakuja mara nyingi zaidi—na ni za ajabu zaidi, zenye vioja, ngeni, za kutisha na kutia hofu kuliko hapo awali! Mamilioni hutumia kiasi kikubwa cha fedha kupiga simu za moja kwa moja kwa watabiri, wasoma viganja, wanajimu, watazama bao, wasihiri, wapiga ramri na kundi lingine la wenye kuwasiliana na mizimu, kutaka kujua nini kitawatokea siku za usoni. Biblia ndiyo msingi wa maarifa yote.

Ichunguze kwa makini na uone ukweli halisi ambao umekuwepo wakati wote katika kurasa zake. Usiamini chochote kwa sababu tu tumekisema, bali kiamini tu ikiwa umekiona kimethibitishwa ndani ya Biblia yako. Biblia inabeba majibu ya maswali yote makubwa ya maisha! Kile ambacho Biblia husema kuhusu asili ya mwovu Shetani kitakushangaza. Lazima tuiache Biblia imfunue jinsi alivyo. Tutayachunguza mafungu yanayofafanua asili ya shetani na kwamba yeye ni nani. Ili kufanya hivi, ni lazima tuachane na fikira za kibinadamu na tukubali tu kile kinachoweza kuthibitishwa ndani ya Biblia!

Shetani yuko hai na halisi. Lakini je wakati wote amekuwa shetani? Wakati wote amekuwa yule mwovu, muuaji, mwongo, mkuu wa giza mharabu? Je aliumbwa jinsi hiyo? Maswali haya yanahitaji ufafanuzi. Yale ambayo utayasoma yatakusaidia uione picha kamili.Post a Comment. Uzima wa Milele International Ministries Yohana Akajibu akamwambia, Wewe wasema. Kwahiyo tunaona kuwa Mungu anao ufalme wake unaoweza kuja na kumiliki hapa duniani kama Mbingu. Kwahiyo tunajifunza kuwa Mungu anao ufalme wake ambao kama ukiukaribisha hapa duniani unaweza kutawala, maana yake unakuwa na utawala wa kibinadamu lakini unapokea maelekezo kutoka kwa Mungu mwenyewe.

Baada ya Yesu kumponya Yule mtu mwenye pepo kipofu na bubu na mtu Yule akapata kuona na kusikia vizuri, mafarisayo wakamdhihaki kwamba anatoa pepo kwa beelzebuli mkuu wa pepo, lakini Yesu alifahamu mawazo yao na kuwajibu. Vilevile ufalme wa shetani unaweza kutawala katikati ya falme za wanadamu kama ukikaribishwa. Utazidi kusema mbele yake huyo akuuaye, Mimi ni Mungu? Lakini u mwanadamu, wala si Mungu, mkononi mwake akutiaye jeraha. Hapa mkuu wa Tiro ni mkuu wa nchi ya Tiro katika ulimwengu wa mwili ambaye anaonekana kwa macho ya mwilini kuwa ndiye anyetawala nchi ya Tiro.

Hii ni kama vile unavyoweza kumuona Raisi wan chi au Waziri mkuu wa nchi au kiongozi yoyote katika nchi mwenye mamlaka ya mwisho katika ulimwengu wa mwili. Huyu ni mkuu wa Tiro katika ulimwengu wa roho, nasema ulimwengu wa roho kwasababu; kwanza nchi moja haiwezi kuwa na viongozi wakuu wawili wenye mamlaka sawa, halafu pili Biblia imemtaja mmoja kuwa ni mwanadamu na wa pili kuwa ni kerubi, hivyo mtawala wa pili wa Tiro yupo rohoni japo anaitawala nchi ya Tiro.

Hapa ndipo tunapopata ufahamu kuwa nchi moja ya Tiro imetawaliwa mwilini na imetawaliwa rohoni, na rohoni imetawaliwa na ibilisi na mwilini imetawaliwa na mwanadamu. Unajua sababu hata nikakujia? Na sasa nitarudi ili nipigane na mkuu wa Uajemi; nami nitakapotoka huku, tazama, mkuu wa Uyunani atakuja…….

Sasa huyu mkuu wa mfalme wa uajemi ni nani hasa wakati tayari uajemi inayo mfalme na jina lake ni Koreshi?

Tafakari Jumapili 31 Mwaka: Huruma ya Mungu kwa wakosefu!

Na kwakuwa roho hiyo ilifanya vita na Mungu Jehova basi ni wazi kabisa kuwa ni roho ya ibilisi. Maana yake ni kwamba katika ulimwemgu wa roho unaotawala ulimwengu wa mwili, umegawanyika katika ngazi mbalimbali za uongozi kama ifuatavyo. Nasema hao viongozi wa rohoni katika ulimwengu wa roho wanayo mamlaka kubwa kwa kuzingatia kuwa waliweza kumzuia Malaika wa BWANA kwa muda wa siku 21 asiingie katika nchi ya Uajemi na Pia waliweza kumpa kiburi na maarifa mengi mkuu wa tiro ambaye ni mwanadamu na kumpa kujiinua hadi akajiita mungu.

Baada ya anguko la mwadamu pale bustani ya Edeni, shetani alinyakuwa mamlaka ya kumiliki na kutawala tuliyoipewa na Mungu wakati wa uumbaji, lakini unapo mpokea Yesu Kristo unahamishwa kutoka utawala wa giza na kuingizwa kwenye utawala wa nuru kwa kufufuliwa pamoja na Kristo na unaketishwa pamoja na Kristo na kupewa mamlaka juu ya tawala zote za muovu. Tumepewa mamlaka juu ya falme na mamlaka za giza katika ulimwengu wa roho, yaani tunayo mamlaka ya kumshinda mwovu shetani kwa jina la Yesu, kwasababu tumewekwa juu ya mamlaka zote katika ulimwengu mwili na ule wa roho.

Kuna mamlaka ya rohoni inayoshughulika na mambo yako ya kiukoo, kifamilia, kikazi, kiafya, kibiashara, kielimu, ndoa na mengine mengi. Kama usipoweza kushughulika na mamlaka za giza zinazoruhusu au kuzuia mafanikio yako lazima utakwama katika mambo mengi ya maisha yako. Utaona mfano wa Daniel alivyochukua muda mrefu kupokea majibu ambayo yapo tayari yalishatolewa na Mungu lakini hayakumfikia kwa wakati kwasababu roho Yule anayetawala katika ulimwengu wa roho katika nchi ya Uajemi alikataa kufungua njia kuruhusu majibu ya BWANA yamfikie Daniel.

Kama jinsi nilivyosema hapo awali kuwa tumepewa mamlaka juu ya falme na mamlaka za giza katika ulimwengu wa roho, yaani tunayo mamlaka ya kumshinda mwovu shetani kwa jina la Yesu, kwasababu tumewekwa juu ya mamlaka zote katika ulimwengu wa mwili na ule wa roho. Nakushauri mtu wa Mungu utumie mamlaka uliyopewa kuuharibu utawala wa giza katika anga la maisha yako.

No comments:. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom.Kabla ya yote hili ni jina la mtu, lakini msomaji hutokuta linapatikana ndani ya Biblia zenu za kiswahili isipokuwa Biblia zingine za Kiingereza.

Maneno yenyewe yameandikwa hivi:. Isaya 14 mstari 12 "Jinsi alivyoanguka kutoka mbinguni Ewe lusifa, mwana wa asubuhi. Amesadikika kwamba Lusifa aliwahi kuwa Malaika mwenye nguvu aliyekosa wakati wa Adamu, kwa hiyo alitupwa chini duniani, ambako anawasumbua watu wa Mungu. Maneno hayo"Ibilisi", "Shetani"na "Malaika"hayamo katika sura hii. Hii ni sehemu pekee katika maandiko ambayo neno "Lusifa" limeonekana - lakini sio katika Biblia yetu ya Kiswahili.

Haupo ushahidi wowote katika Isaya 14 unaoelezea jambo lolote lililotokea kwenye Bustani ya Edeni; kama upo, basi ni kwa sababu gani tumeachwa miaka toka wakati wa Mwanzo kabla ya kuambiwa sababu ya kweli iliyotokea pale? Lusifa amesemwa amefunikwa na funza mst. Ni kwa sababu gani Lusifa ameadhibiwa kwa ajili ya kusema kwamba "Nitapanda mpaka mbinguni" mst. Lusifa anaoza kaburini:"Fahari yako imeshushwa hata kuzimu ….

Malaika hawawezi kufa Luk. Mstari wa 13 na 14 ina muungano na 2 Thes. Tafsiri yetu ya Biblia imeanza andiko la Isaya sura za 13 kuwa ni mfululizo wa "Ufunuo"juu ya mataifa mbalimbali, k.

Babeli, Tiro na Misri. Basi, unabii unamhusu mfalme mwanadamu wa Babeli, ambaye amesemwa ni "Lusifa". Kwa kuanguka kwake:"wao wakuonao …… watakuangalia sana, wakisema, Je! Kwa hivi Lusifa amebainishwa kuwa ni mtu. Kwa sababu Lusifa alikuwa mwanadamu mfalme,"Walio wakuu wote wa dunia …. Hao wote watakujibu na kukuambia, Je! Kwa hiyo Lusifa alikuwa mfalme kama mfalme yeyote mwingine. Mstari wa 20 unasema kwamba uzao wa Lusifa utaangamizwa.

Mstari wa 22 unasema ya kuwa uzao wa Babeli utaharibiwa, hivi wao wanasawazishwa. Ukumbuke kwamba hii ni "Mithali juu ya mfalme wa Babeli" mst. Katika mfano, nyota hii kwa kiburi inaamua kupanda kupaa kwenda mbinguni …. Nitakiinua kiti changu juuu ya nyota zingine za Mungu" mst. Nyota ni mfalme wa Babeli. Danieli mlango wa 4 unaeleza jinsi gani Nebukadreza mfalme wa Babeli kwa kiburi aliuchunguza ufalme mkuu alioujenga, akafikiri kwamba aliyashinda mataifa mengine kwa uwezo wake, Kuliko kutambua ya kwamba Mungu ndiye aliyempa mafanikio.

Kutwezwa huku ghafla kwa mmoja wa watu wa ulimwengu wenye nguvu sana na kutiwa wazimu lilikuwa ni tukio lisilotazamiwa ikahitajika mithali ya kuhusu kuanguka kwa nyota ya Asubuhi toka mbinguni kuja chini.

Nyota ni mfano wa watu wenye nguvu, k. Kupaa mbinguni na kuanguka toka mbinguni ni maneno yasiyotumika isivyokawaida mara nyingi yametumika kwa kuongezeka katika kiburi na kwa maana ya kushushwa - tazama Ayubu 6; Yer. Mstari wa 17 analaumiwa Lusifa kwa kuufanya "Ulimwengu ukiwa, kuuharibu miji yake; asiyewafungua wafungwa wake waende kwao …. Haya yote ni maelezo ya utaratibu wa jeshi la Babeli - likiteketeza eneo lote kama walivyofanya kwenye mji wa Yerusalemuwakiwahamisha mateka kwenda maeneo mengine bila kuwaruhusu warejee nchi zao kama walivyowafanyia WayahudiWakijenga miji mipya na kutwaa kodi ya dhahabu toka mataifa yaliyokandamizwa.

Kwa hivi upo mkazo juu ya ukweli kwamba Lusifa hakupata maziko kama wafalme wengine walivyokuwa nayo Mst. Mstari wa 12 unasema kwamba Lusifa alikuwa "akatwe kabisa"unadokezwa kuwa alikuwa mti.Tafuta Habari Njema Muhimu Mara kwa mara. Mfalme wa Tiro katika unabii wa Ezekieli 28 anamaanisha Shetani?

Swali: "Je! Tiro alikuwa mpokeaji wa hukumu kubwa za kinabii katika Biblia Isaya ; Yeremia ; ; Ezekieli 19; Yoeli 3: ; Amosi 1: 9, Tiro alikuwa inajulikana kwa kupata mali yake kwa kutumia majirani zake. Waandishi wa kale walitaja jiji la Tiro kama jiji lililojaa wafanyabiashara wasio na maadili ya kibiashara. Tiro ilikuwa kituo cha ibada ya kidini na uasherati.

Manabii wa kibiblia walimkemea Tiro kwa kiburi chake kilicholetwa na utajiri wake mkubwa na kuwa eneo zuri la kupangia kimkakati. Ezekieli inaonekana kuwa ni mashtaka yenye nguvu sana dhidi ya Mfalme wa Tiro katika siku ya nabii Ezekieli, akimkemea mfalme kwa kiburi chake na uchoyo.

Hata hivyo, baadhi ya maelezo ya Ezekieli yanaenda zaidi ya mfalme wa mwanadamu. Kwa maana hakuna mfalme wa kidunia anayedai kuwa "katika Edeni" au kuwa "kerubi aliyetiwa mafuta" au "kuwa juu ya mlima mtakatifu wa Mungu.

Baadhi wanapendekeza kuwa Mfalme wa Tiro alidhitiwa na Shetani kweli, na kufanya uhusiano kati ya hao wawili kuwa na nguvu zaidi na kutumika wakati wetu. Kabla ya kuanguka kwake, Shetani alikuwa kiumbe mzuri Ezekieli Alikuwa labda mzuri na mwenye nguvu zaidi ya malaika wote.

Maneno "makerubi mlinzi" kuna uwezekano ionyesha kwamba Shetani alikuwa malaika ambaye "alinda" uwepo wa Mungu. Kiburi kilisababisha kuanguka kwa Shetani. Badala ya kumpa Mungu utukufu kwa kumuumbia uzuri wake, Shetani alijivunia nafsi yake, akifikiri kwamba yeye mwenyewe ndiye aliyehusika na hali yake ya juu. Uasi wa Shetani ulisababisha Mungu kumfukuza Shetani kutoka kwa uwepo Wake na hatimaye, atamfanya Mungu amhukumu Shetani kwenye ziwa la moto wa milele na milele Ufunuo Kama Shetani, Mfalme wa Tiro wa kibinadamu alikuwa na kiburi.

Badala ya kutambua uhuru wa Mungu, Mfalme wa Tiro alisingizia utajiri wa Tiro kwa hekima na nguvu zake. Bila kuridhika na nafasi yake ya kuvutia, Mfalme wa Tiro alitaka zaidi na zaidi, na kusababisha Tiro kuchukua faida ya mataifa mengine, kupanua utajiri wake kwa gharama ya wengine. Lakini kama vile kiburi cha Shetani kilichosababisha kuanguka kwake na hatimaye kitasababisha uharibifu wake wa milele, ndivyo pia mji wa Tiro utapoteza mali, nguvu, na hali yake.

Unabii wa Ezekieli wa uharibifu wa Tiro ulikamilishwa kwa Nebukadreza Ezekieli na hatimaye na Alexander Mkuu. English Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili Je! Jua jinsi ya


Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *